
Binti wa miaka 19 pichani ahukumiwa kwenda jela miaka kumi baada ya kudanganya amebakwa na wanaume watatu weusi
binti huyo mkazi wa mji wa texas nchini marekani alikimbilia kanisani huku akiwa mtupu na akitoka damu na alipo ulizwa akasema amebakwa na wanaume wawili huku mmoja akimshikilia
baada ya kutokea tukio hilo polisi walimpeleka kumpima na kubaini kuwa hajabakwa na alipo hojiwa akasema ni kweli alidanganya
wakili wa serikali alisema binti huyo anastahili adhabu zaidi kwakuwa amedanganya na udanganyifu wake ungeweza kuleta madhara katika jamii
Tags
udaku