POLISI NCHINI MALAWI IMEPEWA KIBARI CHA KUMKAMATA RAISI WA ZAMANI JOYCE BANDA POPOTE ATAKAPO ONEKANA



Raisi wa zamani wa Malawi bi Joyce banda anatakiwa kukamatwa muda wowote atakapo onekana

Polisi nchini malawi imesibitisha kupewa kibari cha kumkamata aliye kuwa raisi wa nchi hiyo bi Joyce banda baada ya kuusika kwenye ufisadi

bi banda anatuhumiwa katika kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha dolla milioni 250 wakati akiwa raisi wa malawi

kwa sasa hayupo nchini hivyo polisi itatumia polisi wa kimataifa kumrudisha nyumbani ili aweze kujibia tuhuma zake za utakatishaji wa fedha za serikali


Post a Comment

Previous Post Next Post