OFISI ZA STAR TV,RADIO FREE,NA KISSFM ZA FUNGWA BAADA YA KUDAIWA NA TRA BILION 4



TRA wamezifunga ofisi za sahara media group baada ya kuwadai zaidi ya bilion nne za kitanzania

ofisi hizo za sahara huuudumia vituo vya Star tv,radio free na kissFm ambazo zina milikiwa na aliye kuwa mbunge wa zamani wa ccm Anthony dialo

msemaji wa kampuni hiyo amekili kufungwa kwa offisi zao na amesema yametokana na kuhama kutika analojia kwenda digital


Post a Comment

Previous Post Next Post