Kufuatia utitili wa wanachama wakiwemo madiwani wa chadema kutangaza kuhama chama na kujiunga na ccm mbowe atoa neno
mbowe asema kuwa kiongozi kuwa upinzani inaitaji moyo wa ujasiri saana maana kosa ujasiri hata yeye angesha kimbia upinzani
mbowe asema kila anae hama chadema anasema karizishwa na utendaji kazi wa raisi na hawana sababu nyingine ya msingi
anaamini hiyo kazi inafanywa na ma DC ili kumfuraisha raisi na si vinginevyo anacho shukuru hakuna aliye hama chama kwa kasoro za chadema inamaana wamenunuliwa anaamini hivyo
mpaka jana madiwani saba mkoani arusha wametangaza kujiuzuru na kujiunga na ccm kwakile walicho kiita kuvutiwa na utendaji kazi wa magufuri
Tags
Kitaifa