Baada ya lowasa kuitajika kufika kwa DCI hatimae leo akawasili lakini baada ya nusu saa akaruhusiwa kuondoka
huku kukiwa hakijulikani kilicho endelea wanahabari walimuoji mwanasheria wa lowasa ambae ni kibatala akisema wameambiwa waje tena alhamisi ijayo
kibatala amesema hawajaambiwa kwanini ila wameambiwa tuu waje tena alhamisi ya wiki ijayo
leo ni mala ya tatu kwa lowasa kuwasili DCI na hakuna kinacho endelea kama ambavyo leo wametakiwa kurudi tena alhamisi
lowasa ana tuhumiwa kutoa maneno ya uchochezi akiwa katika futari aliyo iandaa wakati wa ramadhani ambapo lowasa aliitaka serikali na polisi kuwaachia mashehe wa uamsho akisema hawana makosa
mashehe hao wanashikiliwa na polisi miaka mitatu sasa huku kesi yao ikiwa bado haija patiwa hukumu
Tags
Kitaifa