NDEGE YA JESHI YAANGUKA YAUA WATU 16

Mapema leo kumetokea ajari ya ndege ambayo imechukua uhai wa watu kumi na sita

ajari hiyo iliyo husisha ndege ya jeshi la marekani ilianguka kusibi mwa mji wa misisipi nchini marekani nakuua watu wote waliokuwepo kwenye ndege hiyo

mpaka sasa chanzo cha ajari akija julikana  ambapo ndege hiyo iliangukia katika shamba moja katika mji wa misisipi nchini marekani

Post a Comment

Previous Post Next Post