
umoja wa katiba ya wananchi ukawa wajipanga kumtimua pr lipumba kwa kile walichokiita kuwa msaliti
Ukawa wamekuja na operation waliyoiita ondoa msaliti inayo mlenga kumwondoa lipumba kutoka CUF
wamesema CUF haina mgogoro wa kisiasa bali tatizo ni lipumba ambae wana mtuhumu kutumiwa na ccm kuhujumu chama chao
akiongea na wanahabari mbunge wa ubungo Saidi kubenea alisema wamekaa chini pamoja na CUF na wamekubaliana wamwondoe lipumba kwakuwa yeye ndiyo kikwazo na anatumwa na ccm kuhujumu upinzani nchini tanzania
Ukawa wamesema wameanzisha kampeni hiyo mahususi kwaajili ya kumng'oa lipumba ambe anatambulika kwa msajiri wa vyama vya siasa huku CUF wakiwa wanamkataa
Tags
Kitaifa