MCHEZAJI WA NDONDO CUP AITWA TIMU YA TAIFA



Mchezaji aliyekuwa akicheza katika michuano ya ndondo cup aitwa timu ya taifa

mchezaji huyo Kelvin sabato ambae anachezea majimaji ya mjini songea alionesha kiwango kizuli katika ligi hiyo ndyo maana ameitwa

mchezaji huyo ameitwa baada ya timu ya taifa kurudi kutoka afrika ya kusi ilikokuwa ikishiliki michuano ya COSAFA

Mcheaji huyo alishawai kukataa kujiunga na simba akitokea stand united na akajiunga na majimaji ya songea

akiongea na Swahiba blog alisema amefurai kuitwa timu ya taifa na ilikuwa ndoto yake kubwa tangu zamani kucheza timu ya taifa


Post a Comment

Previous Post Next Post