
klabu ya Everton ya uingereza imemalizana na man united kumsajili mchezaji Wayne rooney
Wayne rooney alihama everton na kujiunga na man united miaka kumi iliyipita lakini sasa imemludisha tena nyumbani
mchezaji huyo ameenda kwa usajili huru akitokea manchester united.alikocheza kwa miaka kumi na kupata mafanikio makubwa
kwakuwa everton itafika tanzania kucheza katika mechi iliyo andaliwa na mzamini wake ambae ni Sportpesa huenda na rooney nae akawa moja ya wachezaji watakao fika tanzania
everton inazaminiwa na sportpesa ambayo ni kampuni ya michezo ya kubahatisha kwenye mpira yenye makao makuu nchini kenya
Tags
Michezo