
Majeshi ya serikali nchini iraq yanakalibia kiudhibiti mji wa mosul ambao ni ngome kubwa ya IS
mapigano mjini mosul yalianza miezi kadhaa iliyopita ili kuukomboa mji huo ambao IS waliufanya kama ngome yao kuu nchini iraki
katika mapambano hayo wanamgambo wa IS hutumia raia kama chambo lakini wanajeshi wa iraq wanajitaidi kupambana nao
majuzi kulionekana video ikiionesha IS wakiuvunja msikiti wenye zaidi ya miaka mia nne ambao ulikuwa miongoni mwa majengo ya kale katika nchi hiyo
majeshi ya iraq yanasonga mbele yakisaidiwa na mashambulizi ya anga ya marekani ambayo ipo mbele kuwasaidia iraq kuwa fukuza wanamgambo hao wa itikadi kali.
Tags
Kimataifa