Rais wa zamani wa brazil pichani ahukumiwa kwenda jela miaka tisa baada ya kukutwa na hatia ya rushwa
raisi huyo ambae alizaliwa familia masikini lakini alipambana mpaka akaja kuiongoza brazil
alipendwa saana na jamii ya kimataifa kutokana na juhudi zake za kuleta usawa lakini hatimae kahukumiwa miaka tisa jera
anatuhumiwa kupokea rushwa ya dola milioni moja kutoka kwa kampuni moja ya ujenzi nchini brazil
mawakili wake wamekata rufaa kupinga azabu hiyo ambayo waliyoiita isiyo lingana na kosa la mteja wao
Tags
Kimataifa