Rais magufuli amesema amekataa mialiko zaidi ya 50 ya kwenda ulaya lakini amekataa
maneno hayo aliyasema leo akiwa ziarani ambako amezindua miladi kadhaa ya maendeleo mkoani singida
JPM alisema hana haja ya kwenda ulaya wakati ana mzigo mkubwa wa ufisadi anatakiwa kuuzibiti kwanza nchini.kabla ya kukubali mialiko hiyo
pia anasema mialiko hiyo ingeyumia pesa nyingi za walipa kodi ambazo.saizi zinatumika katika miladi ya maendeleo
Raisi tangu achaguliwe kuwa raisi hajawai toka nje ya bara la afrika ambapo katika utawala wake amewai kwenda Rwanda na Ethiopia tuu tangu aapishwe kuwa raisi wa Tanzania

Tags
Kitaifa