Polisi imewataja baadhi ya watu wanao tuhumiwa kuhusika katika mauaji ya kinyama yanayo endelea mkoani pwani wilayani kibiti
serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kupitia naibu waziri wa wizara ya mambo ya ndani Hamad massaun aliwataja baadhi ya watuhumiwa hao ambao ni pamoja na
>Hassan Aluna
>Anafi Kapera
>Faraji ismahil nangalawa
pia polisi inasema itajitahidi kwa nguvu zake zooote kuwatia nguvuni watuhumiwa hao ili wakomeshe yasitikee tena mauaji hayo ambayo yamesababisha taharuki kubwa kibiti na nchi nzima
pia polisi imesema itatoa donge nono kwa atakae saidia kukamatwa kwa tuhumiwa hao ambao mpaka sasa hawajulikani walipo ila jitihada zinaendelea kuhakikisha wanawekwa nguvuni
pia waziri amewaimba watanzania kuwa msaada katika kufanikisha hazma hii ya kurudisha amani waliayani kibiti na tanzania kwa ujumla
Tags
Kitaifa