mshambuliaji wa barcelona na timu ya taifa ya argentina lionel.mess huenda akakumbwa na adhabu kuubwa baada ya kukwepa kodi
mesi huenda akaadhibiwa faini ya dolla milion 2.2 na kifungo jera kma atakutikana na makosa
makosa ya ukwepaji kodi kwa messi ni ya kila mara ambapo pia alishawai kupandishwa kizimbani kwa kosa kama hilo

Tags
Michezo