JPM akiwa wilayani Sengerema raisi ametoa onyo wa mkuu wa shule atakae mrudisha shule mwanafunzi aliyepata mimba mwalimu huyo atapiteza kazi yake
raisi aliyasema hayo leo akiwa sengerema akiwataka wakuu wa shule kuto warudisha wanafunzi waliopata ujauzito shuleni
pia alisema kuna baadhi ya NG'OS zina lalamika kuhusu hawa watu basi kama wana wapenda wawajengee shule zao wao ili wawasaidie
pia amesema elimu bure haijajipanga kumsomesha mzazi bari mwanafunzi hiivyo basi haita mruhusu aliye zaa kurudi shuleni kwakuwa atakuwa.mzazi huyo
pia raisi amewajibu wanao simamia kigezo cha kubakwa alisema wanafunzi wengine walishikwa wanajiuza coco alafu utasema wamebakwa? Hawa hawatakiwi kurudi shule tena ili iwe fundisho

Tags
Kitaifa