Mkuu wa wilaya ya kinondoni Ally hapi amemtaka mkuu wa polisi kinondoni amkamate mbunge wa kawe Halima mdee baada ya kutoa maneno ya kichochezi
Hapi alisema yeye akiwa kama mwanakamati wa ulinzi na usalama wilaya ya kinondoni alishtushwa na maneno aliyoyatoa mbungr huyo dhidi ya mh raisi wa jamhuri ya muungano
alisema kuwa maneno aliyo yasema mdee mbele ya wana habari yalikuwa ni ya kichochezi na anapaswa kuadhibiwa ili iwe fundisho
Halima mdee katika mkutano wake na wana habari aliwataka chadems kuwarudisha shule mabinti wote wataka pata ujauzito katika halmashauli wanazo ziongoza nchini kauli ilichukuliwa kama kauli ya uchochezi zidi ya raisi
mkuu wa wilaya amewataka polisi kumkamata na kumweka ndani Hala mdee kwa saa 48

Tags
Kitaifa