Ingawa ni nafra ila imekuwa hivyo.kwa mchezaji wa timu ya taifa ya Ghana pia nipolisi nchini humo
Anaitwa Samuel Sarfo ni mchezaji wa timu ya taifa ya ghana lakini pia ni mwajiliwa wa wizara ya ulinzi nchini hhana
kwa miaka ya nyuma alionekana kama polisi akiwalinda wachezaji uwanjani lakini sasa na yeye anacheza kama wachezaji wengine
mchezaji huyo ambae anacheza tumu ya ligi kuu ya ghana anasema ilikuwa ndoto yake kuja kucheza timu ya tsifa ila anashukulu sasa ametimiza na mpango wake wa sasa ni kucheza ulaya kama wachezaji wengine
pia mpaka sasa bado ana hudumu kama polisi.na amesema hafikilii.kuacha labda hadi akipata nafasi ya kucheza barani ulaya ambako ndyo ndoto yake inakoangalia kwa sasa

Tags
Michezo