Waziri wa mambo ya ndani mh Mwigulu nchemba amjia juu.mh gidbless lema kufuatia kauli ya kubiti
nchemba ampa onyo lema kufuatia kauli yake aliyosema "wabunge wanaogoa kujadili kuhusu kibiti wakihofia jamaa kuamia kwao" kauli hii ilimkela nchemba kupita kiasi
nchemba alisema swala la kibiti si swala la utani kama alivyosema lema kiraisi namna hiyo na siku ikawa hivyo itabidi kuwe na maelezo ya kutosha zaidi
mpaka sasa mkoani pwali walayani kibiti watu 37 wamesha fariki huku 13 wakiwa polisi ambao walishambuliwa na gari lao kuchomwa moto siku waliyo uawa trafki wawili
mpaka sasa wauaji hawajatoa sababu yao kuu ya kufanya mauaji hayo ukizingatia baada ya mauaji watu hawa huwa hawa chukui kitu chochote
kufuatia mauaji hayo wananchi wengi walayani kibiti wamelazimika kuhama kunusuru roho zao kwa kuwa hawajajua ninani hasa anaelengwa na wauaji hao
Tags
Kitaifa