wolper afunguka kuachana na harmonze

msanii wa bongo muvie jacklin wolper afunguka kuhusu kuachana na harmonize na amekiri.kuachana miezi.mitatu iliyo pita

wolper amesema wao wenyewe waliamua kukaa kimya kwa sababu za kibiashara zaidi na si vinginevyo

wolper ambae alicheza vitendo katika video ya harmonize anasema waliamua kuwa kimya kwaajili ya video hiyo lakini wao waliachana kabla video kitoka na kila mtu yupo na mambo yake

pia harmonize aliusishwa kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine wakizungu huku wengine wakisema mzungu huyo ni mjamzito kwa sasa


Post a Comment

Previous Post Next Post