waziri mkuu mstaafu mh fedrik sumae amejiuzuru ujumbe wa bodi ya CRDB ambayo aliitumikia kma mjumbe kwa kipindi kirefu
sumae amesema ameamua kujiuzuru ili kupunguza majukumu na kujikita zaidi katika majukumu ya kichama
sumae ambae aliihama ccm na kujiunga na chadema amekuwa na majukumu.mengi ndyo maana ameamua kuyapunguza amesema
Tags
Kitaifa