waumini wa coptic washambuliwa misri

taarifa kutoka misri zinasema waumini wa dhehebu la coptic zaidi ya 25 wameuawa misri huku zaidi ya 26 wakijeruiwa

tukio hilo limetokea kusini mwa cairo ambapo msafara wa waumini hao ulisimamishwa na watu walio valia sare za jeshi na ghafla wakaanza kushambulia basi kwa risasi

kwa mujibu wa mashuhuda miongoni mwa walio fariki ni pamoja na watoto

nchini misri kuvamiwa kwa wa coptic ni matukio ya mara kwa mara ambapo miezi kadhaa iliyopita walishambuliwa kanisani

Post a Comment

Previous Post Next Post