ajifungua mtoto na kumtupa mtoni

katika hali isiyo ya kawaida mtoto mchanga akutwa ametupwa katika daraja la mabatini songea mjini

mtoto huyo ambae ni mchanga amekutwa amekufa baada ya kutupwa na mama yake

mpaka sasa hajajulikana mama wa mtoto huyo ambae alimtupa na kutoweka

Post a Comment

Previous Post Next Post