rooney afikilia kurudi everton

roon amesema anafikilia kurudi everton kma atabakia uingereza

roon ambae hachezi sana ktk kikosi cha manchester united hasa kwa msimu huu amesema anafikilia kuondoka

amesema kuna ofa nyingi ughaibuni kwenda kucheza huko ila kma atabakia sehemu nzuri kwake ni everton

wyne rooney amekulia everton kabla ya kwenda manchester united tangu akiwa mtoto na atafurai endapo atarudi tena klabuni hapo

Post a Comment

Previous Post Next Post