Watanzani zaidi ya 11 wapandishwa mahakamani nchini afrika kusini kwa tuhuma za ubakaji
watuhumiwa hao walimmbaka mwanamke wa miaka 22 ambae ni mjamzito mwanamke huyo ambae alikuwa akitoka kazini majira ya saa 11alfajiri
wakati wa ubakaji huo mwanamke huyo alikuwa na rafiki yake wa kiume ambae alitoroka na kukimbia ambapo alitoa taarifa polisi
watanzania hao pia wanaweza kukutwa na kosa jingine la kutumia siraha kwa kuwa walikuwa na bastola wakati wakifanya tukio hilo
kesi hiyo imehairishwa na watafikishwa tena mahakamani kwaajili ya kujibu tuhuma hizo
Tags
Entertaiment