gazeti moja nchini marekani limeandika kuwa chini imewaua majasusi wa marekani yaidi ya 18 tangu 2000 ambapo wengine wanaaminika kufungwa gerezani
inaaminika kuuawa kwa majasusi hao kumepelekea shughuli za upelelezi za marekani kuathilika kwa kiasi kikubwa
marekani imekuwa na tabia ya kuchunguza mataifa mengine ili kujua wana mikakati gani kuiuchumi na ata kidipromasia pia
Tags
Kimataifa