baada ya kutoka.majina ya watumishi wenye vyeti feki.nchini wengi wao.wamekata rufaa na kupinga kufukuzwa kwao kazini
ambapo walio tumbuliwa walikuwa makundi tofaiti ni wale wenye vyeti bandia ,wenye vyeti visivyo timia na wale ambao.cheti chao kinatumika na mtu zaidi ya mmoja
baraza la mitihani lilitoa luksa kwa waajili hao kukata lufaa kwa anae ona hakutendewa haki ambapo watumishi hao wamefika katika offisi za baraza la mitihani kufanya uhakiki kuusu vyeti vyao
Tags
Kitaifa