historia ya cocain

cocain zamani ilitumika kama kisisimua misuri tu cha kawaida kisicho kuwa na madhara yeyote ambacho.kiligundurika mwaka 1859 na mjerumani Albert Nieman ambae alikuwa ni mwana sayansi 

mpaka mwaka 1880 cocain ilikuwa imeenea maeneo.mengi ikiwemo.mahospitalini ambapa baadae Frued Signund alikuwa raia wa australia ni mtumiaji aliitangaza zaidi duniani na.alitangaza bila ya kujua madhara yake kwa siku za usoni kwakuwa na yeye alikuwa ni mtumiaji pia

alitumia mmea wa coca kujitengenezea madawa hayo na alishawishi wengi kutumia akiwemo mpenzi wake


lakini siku zilivyozidi kwenda madhara ya cocain yakaanza kuonekana ambapo.mwaka 1903 coca-cola walilazimishwa kuiondoa cicain katika vinyaji vyao baridi ambavyo vilikuwa na chembe za cocain na mwaka 1905 mahospitali mengi nchini marekani yalianza kutoa madhara ya cocain

mwaka 1912 selikali ya marekani ilisema kuna vifo zaidi ya 5000 vilivyotokana na matumizi ya cocain nchini humo hivyo basi.madawa hayo yakapigwa marufuku kote marekani na duniani kwa ujumla


Post a Comment

Previous Post Next Post