rais zuma amehaidi kuisaidia tanzania kiuchumi ikiwemo kuyashawishi makampuni ya afrika kusini kuja kuwekeza tanzania katika nyanja tofauti ikiwemo miundombinu pia
pia raisi alimwomba asaidie kupata mkopo wakusaidia ujenzi wa reli ya kisasa ili kusaidia shughuli za usafirishaji na kuinua uchumi wa taifa kwa ujumla
Tags
Kitaifa