DIAMOND NYIMBO MPYA NA RICK ROSS

msanii Diamond azidi kupasua anga la kimataifa baada ya kufanya collabo na msanii wa hip hop nchini marekani Rick ross

wasanii hao wamesha fanya audio na sasa wana fanya video ya nyimbo yao ambayo bado hawaja weka hadharani jina lake

kupitia mtandao wa instagram babu tale amesibitisha kuwepo kwa kolabo hiyo ambayo video yake wana fanyia  miami frolida

hii inakuja baada ya kuachia ngoma ya halelujah ambayo aliwashilikisha wana muziki wa rege wa nao milikiwa na msanii kutoka jamaica Morgan hertage


Post a Comment

Previous Post Next Post