polisi mjini dar es salaam imesibitisha kuwakamata watu wawili wana mume na vipande sita vya pembe za ndovu
pembe hizo zilikutwa zimefichwa katika mauwa nje ya nyumba moja ya kati ya watuhumiwa hao kamanda siro amesibitisha kuwatia nguvuni watuhumiwa hao na kusema kuwa uchunguzi bado unaendelea kubaini mtandao mzima wa biashara hiyo haramu
Tags
Kitaifa