kony ashindwa kupatikana

kiongozi wa kundi la waasi.kutoka nchini uganda Joseph Kony amefanikiwa kuwakwepa maaskari wa uganda ambao walikuwa wakimsaka kwa kipindi kirefu sasa baada.ya kufanya uharifu wa kivita nchini uganda

Kony ambae aliteka vijana wadigo na kuwatumikisha jeshini pia kausika katika kufanya ubakaji na mauaji kwa miongo kadhaa sasa

katika msako huo mamilion ya dola yalitumika katika zoezi hilo ambapo marekani ilitoa msaada mkubwa lakini kony wameshindwa kumtia nguvuni


Post a Comment

Previous Post Next Post