fifa ya sibitisha kuiongezea timu afrika

fifa imesibitisha kuipa africa nafasi tisa katika michuano ya kombe la dunia kutoka nafasi tano mpaka tisa

pia kwa mujibu wa mfumo timu.zinaweza kuwa kumi.kwakuwa kuna nafasi moja ya kushindaniwa na mabara yote

hatua hiyo itasaidia baadhi ya nchi kupata nafasi baada ya timu kuongezeka katika michuano hiyo ya kombe la dunia


Post a Comment

Previous Post Next Post