indonosia watu zaidi ya 200 wakamatwa baada ya kuhudhuria sherehe ya watu wa mapenzi ya jinsia moja nchini indonesia
watu hao ambao walilipa kiingirio cha zaidi ya dolla14 walikamatwa na kupelekwa polisi ambapo wanakabiliwa na mashtaka
mkuu wa polisi amesema miongoni mwa walio.kamatwa ni pamoja na raia mmoja wa uingereza ambae inaaminika ni muhamasishaji wa mambo hayo ambae ni kama mwandaaji wa tukio hilo
nchini indonesia mapenzi ya jinsia moja ni kosa kisheria na mtuhumiwa huandamwa na adhabu kari ili kuwa fundisho kwa wengine
Tags
Entertaiment