kivuko ambacho.kilikuwa kinajengwa reo kimefanyiwa majaribio na kimebainika kuwa sawa na tayali kwa huduma
kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba abilia 800 na magari 22 kilijaribiwa reo na kufuzu kufanya kazi zake
kivuko hicho kiligharim pesa zaidi ya biliom 7 katika ujenzi wake reo.kimefuzu na kita kabidhiwa kwa wakala wa ufundi tanzania TEMESA ili kitumike kubeba abilia kati ya kigamboni na fell
Tags
Kitaifa