mwisho wa kuishi binadamu ni miaka 115

watafiti nchini marekani wamefanya uchunguzi na kubaini kuwa umri wa binadamu kuishi ni miaka. 115 tuu

watafiti hao wamechunguza mambo mengi na kuja kupata jibu kuwa umri mkubwa zaidi kwa binadam ni miaka 115

ingawa miaka ya nyuma binadam waliishi zaid lakini umri wa sasa umepungua mpaka kufika umri huo watakao ishi zaidi ya hapo ni kwa baati tuu



Post a Comment

Previous Post Next Post