tatizo la ajira nchini rwanda imewapelekea wahitimu wa degree kurudi shule kusoma ufundi baada ya kukosa ajira
wahitimu wengi wamekuwa hawana ajira muda mrefu.tangu wamalize chuo kikuu ivyo kurazimika kusoma tena ufundi
wahitimu wengine wamelazmika kusomea mapishi ili wajipatie ajira huku wengi wakisoma ufundi
SWAHIBANEWZ imefanya mahojiano na mmoja wa wahitimu alisema"nina degree mbili lakini sina ajira elimu yangu haija nisaidia nimeamua kuja kusomea mapishi ili nipate ajira"
Tags
Kimataifa