gwajima asema wanao mtabilia kufa wamechemka

mchungaji ambae hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa hapa tanzania kutokana na mambo tofauti amesema hafi ng’oo

gwajima amesema kuna watu wananitabiria eti ntakufa mwakani amesema hafi mpaka atakapo maliza kazi aliyo tumwa na mungu hapa duniani itakapo timia

mchungaji huyo wa kanisa la ufunuo na uzima amejipatia jina sana.baada ya kudai vyeti vya mkuu wa mkoa wa dar es salaam


Post a Comment

Previous Post Next Post