baada ya hivi majuzi kuenea kwa picha ya ben paul akiwa nusu utupu katika mitandao mingi hapa nchini ben aamua kufunguka
watu wengi walizani account itakuwa imeibwa namtu kaamua kumchafua kumba ni yeye mwenyew ndye alie posti ile picha
ben kasema.msihukum bila kujua nini chanzo na amesema picha ile ni cover ya wimbo wake mpya ambao kaufanya na dalasa na na utatoka muda si mrefu
watu wengi walikuwa wakijiuliza kwanin ameamua kufanya vile huku wengine wakidai nani aliye mpaka maguta?
Tags
Entertaiment