Serikali ya uingereza imepania kuimalisha ulinzi maeneo yote yenye msongamano wa watu
hatua hiyo imekuja baada ya kufanyika shambulio la kigaidi juzi usiku katika tamasha la muziki ambapo watu 22 wamepoteza maisha huku wengine zaidi ya sitini wakijeruhiwa

pia polisi imemtambua muuaji kuwa ni kijana wa miaka 22 ambae alizaliwa uingereza ila wazazi wake ni raia wa libya
Tags
Kimataifa