Mwanasheria na aliye kuwa mshauri wa ACT albert msando ajiuzuru nafasi.yake katika chama hicho baada ya video yake mbaya kuvuja mitandaoni
katika video hiyo ikimwonesha akiwa na gigy many ambae ni video queen wa hapa bongo wakicheza katika gari huku msando akimpapasa binti huyo
chama cha ACT kimesibitisha kupokea barua ya kujiuzuru kwa msando na wamekubar ombi hilo
pia msando amesema ameamua kujiuzuru kwakuwa ameguswa na lililo tokea na ameomba msamaha

Tags
Kitaifa