Baada ya kampuni moja ya filamu india kuomba kuirudia filam ya rambo mwenye filam yake amewaruhusu
stallone ambae ndye mwenye filamu hiyo amewaruhusu kurudia lakini wasiweke wala kucheza nyimbo.katika filam hiyo
stallone alisema kuweka au kucheza nyimbo kma wafanyavyo wahindi kwenye filamu hiyo itakuwa ni kama kumkosea mungu hato penda
Tags
Michezo