baada ya raisi trump kumtima kazi.bwana comey ilisemekana FBI wanamchunguza kutokana na tukio hilo
akiongea na talevisheni trump alisema hachunguzwi na kma kuna uchunguzi ni wakinafki hauna maana yoyote kwake
trump alimfukuza kazi comey ambae alikuwa akichunguza tuhuma za urusi kuingilia uchaguzi wa marekani na kumsaidia trump huku trump akisema hakufanya hivyo
Tags
Kimataifa