tanzania imekuwa ndiyo nchi namba moja barani afrika kuzarisha maharage kwa wingi
tanzania inakadiriwa kuwa na heka milion zaidi ya moja za maharage ambayo yanalisha mataifa mengi barani afrika na nje ya afrika
zao la maharage pia limesaidia sana katika kunyanyua uchumi wa mkulima mmoja mmoja nchini tanzania huku wengine wakilipa karo za shule kwa watoto wao pia
Tags
Kitaifa