hazard aiota tuzo ya mchezaji bora wa fifa

mshambuliaji wa timu ya chelsea hazard amesema baada ya chelsea kuchukuw ubingwa EPL anatamani na yeye kishinda tuzo ya fifa

hazard alisema alipo kuwa akiojiwa mjini london kuwa anatamani siku zijazo na yeye ashinde tuzo ya mchezaji bora ya fifa kma mungu atapenda

hazard ambae ameisaidia chelsea kukaribia ubingwa msimu huu ambapo chelsea inaitaji point tatu za reo kuwa mabingwa


Post a Comment

Previous Post Next Post