The rock ataka urais marekani

muigizaji wa picha za kibabe the rock amesema bado anandoto za kuja kuwa raisi marekani

si mara ya kwanza anasema hivi umekuwa ni.msimamo wake kuwa anatamani kuja kuwa raisi wa taifa kubwa kma marekani hivyo basi anajipanga

the rock anasema huwa anapata nguvu alipoona obama kaweze na yeye anaamini ata weza kwakuwa wamarekani wanajierewa alisema


Post a Comment

Previous Post Next Post