ni iphone rose ni toleo la.iphone 4 ambayo nayo iliwai kuwa miongoni mwa sim za bei kali duniani
sim hii ilikuwa na thamani ya dolla milion 8 sawa na kma bilion 17 za kitanzania haikuwa na utofauti saana na zingine ila hii ilikuwa na naksh ya dhahabu iliyo pelekea cm hii kuwa ghali kwa wakati ule
Tags
Fashion