binti mmoja nchini india wa miaka 23 amemkata uume mwalimu wake wa dini akimtuhumu alikuwa akimbaka kwa kipindi kirefu
binti huyo alisema mwalim wa dini amekuwa akimbaka zaidi ya miaka mitano sasa na aliamua kufanya hivyo kwakuwa alikuwa na hasira
hospital moja nchini humo imesibitisha kumpokea mgonjwa ambaa asilimia 90 ya uume wake ulikuwa umekatika na kusema ni vigumu kumrudisha kama zamani
nchini india visa vya ubakaji ni vingi na ndyo nchi inayoongoza kwa visa vya ubakaji
Tags
Entertaiment