RC wa arusha mh mrisho gambo amesema atawazibiti wale woote wanao leta siasa kwenye msiba au misiba
mkuu huyo alisema msibani syo mahara pa siasa ana shangaa kuona watu wanaleta siasa hiyo ni kinyume na ata washughulikia kuakikisha hawaaribu utarati ulio wekwa
aliyaongea hayo alipokuwa akipokea baadhi ya michango kwa wafiwa wa ajari ya arusha na.kuwaasa wafuate utaratibu ulio wekwa ili kuepusha migongano itakayo weza kujitokeza
Tags
Kitaifa