Manchester united leo itakuwa na kibarua itakapo kuwa dimbani kucheza na ajax
man united wanataka washinde mechi ya reo ili wapate pia nafasi ya kucheza UEFA huku ajax wakiwa wana nafasi baada ya kumaliza ligi wakiwa nafasi ya pili.nchini kwao
kwa taarifa zilizo tufikia mpaka sasa tiketi zimesha uzwa kinacho subiliwa ni mtanange kuanza
Tags
Michezo