serengeti yaizamini tena timu ya taifa

kampuni ya bia ya TBL chini ya bia ya serengeti imesaini mkataba wa kuisapoti taifa stars katika michuano tofauti

mkataba huo umasainiwa reo mbele ya waziri wa michezo mh mwakyembe ambapo serengeti itatoa zaidi ya milioni mia saba kwa mwaka na kuitaka TFF kuzitumia hela izo katika kuakikisha tanzania inafika mbali katika michuano tofauti


Post a Comment

Previous Post Next Post